Home » » KAMANDA WA POLISI MKOA WA KATAVI AKITOA MAELEZO YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO NA MAANDAMANO

KAMANDA WA POLISI MKOA WA KATAVI AKITOA MAELEZO YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO NA MAANDAMANO

Kamanda wa  Polisi wa  Mkoa wa Katavi  Damas  Nyanda  akitowa maelezo kwa wandishi wa  Habari ya kupiga marufuku mikutano, mandamano na mikutano yote ya vyama vya siasa mpaka  hapo  Jeshi la polisi Mkoa wa  Katavi litakapo  tangaza  tena

Picha na Walter Nguluchuma Katavi yetu Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa