Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Vihenge na Maghala ya Kisasa kuhifadhia Nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda mkoani Katavi

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Vihenge na Maghala ya Kisasa kuhifadhia Nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda mkoani Katavi


. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo wakati alipotembelea sehemu ya mfumo wa upimaji Nafaka kabla ya kuzindua mfumo ununuzi wa nafaka kwa msimu wa 2024-2025, Mpanda Mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa