Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza na Wananchi mara baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo tarehe 14 Julai, 2024.


 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa