Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Mpanda katika Kilele cha Wiki ya Wazazi Kitaifa Mkoani Katavi

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Mpanda katika Kilele cha Wiki ya Wazazi Kitaifa Mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mpanda kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa Kilele cha Wiki ya Wazazi mkoani Katavi katika Viwanja vya Azimio, Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa