Home » » Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Kilele cha Wiki ya Wazazi Kitaifa Mpanda Mkoani Katavi

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Kilele cha Wiki ya Wazazi Kitaifa Mpanda Mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa Kilele cha Wiki ya Wazazi Mpanda mkoani Katavi. Mkutano huo ambao umeandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania ulifanyika katika Viwanja vya Azimio, Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024. 


 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa