Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Kupokea, Kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa cha Inyonga Mkoani Katavi

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Kupokea, Kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa cha Inyonga Mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga tarehe 13 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

 


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa