Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Mpanda kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Katavi.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Mpanda kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Katavi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.


 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa