Home » » TUKIO KATIKA PICHA: MKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH.PINDA AMBALO ALIUZIWA MBEGU AMBAZO HAZIKUWA NA UBORA, WAPANDA TENA MBEGU MPYA.

TUKIO KATIKA PICHA: MKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH.PINDA AMBALO ALIUZIWA MBEGU AMBAZO HAZIKUWA NA UBORA, WAPANDA TENA MBEGU MPYA.



  Mkuu wa Mkoa wa Katavi DR  Ibrahimu Msengi aliyekatikati akionyeshwa mbegu za mahindi   na afisa kilomo wa Mkoa wa Katavi Elishael Nyoni   hapo juzi   za kampuni ya Byrade aina ya Pioneer Phb 3253 kwenye shamba la waziri Mkuu Pinda lililoko kijijini kwake Kata ya Kibaoni  ambapo ekari tisa zilizopandwa mbegu hizo zimeshindwa kuota kutokana na kutokuwa na ubora


 Watumishi wa shamba la Waziri Mkuu Mizengo Pinda lililoko kijijini kwake kibaoni wakiwa wanarudishia kupanda mbegu za mahindi kwenye sehemu ambazo mbegu za mahindi aziku ota 

Picha na Walter Mguluchuma-Katavi  yetu Blog


Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa