Benchi la ufundi la timu ya simba likiongozwa
na kocha mkuu King Abdallah Kibadeni wakifuatilia kwa makini mchezo wao na timu
ya kombaini ya timu ya katavi ambapo katika mchezo huo timu ya simba ilishinda
goli 2-1, mcheo ambao ulifanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa azimio
mjini mpanda. picha na Walter Nguluchuma
Wachezaji wa timu ya mkoa wa katavi
wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika katika
uwanja wa azimio mjini mpanda ambao timu ya simba iliibuka ushindi kwa goli
2-1, mchezo ambao uliovunja rekodi ya watazamaji tangu uwaja huu ulipojengwa
mwaka 1975. picha na Walter Nguluchuma
0 comments:
Post a Comment