Na Walter MguluchumaMpandaJeshi la polisi Mkoa wa Katavi limefanikiwa kukamata pikipikiya mwendesha bodaboda iliyo kuwa imeibiwa kufuatia msakoulio fanywa na jeshi hilokatika mwambao wa ziwa TanganyikaKaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi Joseph Myovela alisemajeshi hilo limefanikiwa kukamata pikipiki aina ya Sunlg yenyenamba za usajiri namba T695 mali ya Richald Julius iliyo ibiwawiki iliyo pita katika kituo cha bodaboda kilichopo katikamtaamji mwema mjini hapaAlisema mara jeshi hilo lilipo pata taarifa ya wizi huolilianza msako wa kumsaka wizi huyo kwa kushirikiana na vituovidogo vya polisi vilivyopo nje ya mji wa MpandaMyovela alieleza ndipo hapo juzi askari wa kituo kidogo chapolisi cha Karema kilichopo mwambao wa ziwa Tanganyika ambaowalikuwa na taarifa ya kuibiwa kwa pikipiki walipo itiliashaka pikipiki ambayo ilikuwa ikiendeshwa na mtu wasie mfahamuhuku ikiwa haina pleti nambapolisi walimtaka mwendesha pikipiki huyo asimame na badala yakealiamua kuitekeza pikipiki hiyo na kutokomea polini licha yaaskari polisi kumfukuza hakuewaza kufanikiwa kumkamkamataKaimu kamanda huyo wa polisi wa mkoa wa Mkoa wa Katavi alisemakuwa hivi karibuni kumezuka wizi wa pikipiki katika mkoa huuambapo wezi hao wamekuwa wakisha kuziiba wanazipeleka kuwauziawavuvi wa samaki katika mwambao mwa ziwa Tanganyika ambaowamekuwa wakitumia injini za pikipiki kuweka kwenye botizao za uvuvi na za kusafirishia abiliaJeshi la polisi mkoa wa Katavi limewataka waendesha pikipikiwawe waangalifu na wachukue taadhali pale wanapo kuwa wanapakipikipiki zao ili kuepukana na wizi ulioanza kujitokeza kwa kasisiku za hivi karibuni
Home »
» Polisi wakamata Pikipiki ya Bodaboda iliyoibiwa
0 comments:
Post a Comment