Polisi jamii na ulinzi shilikishi
katika Mkoa wa Kakavi umepata mafanikio makubwa baada ya jeshi la polisi
mkoani katavi kujiimarisha kwa kuweka askari polisi
kila kata ambao wanatowa elimu kwa wananchi na tayari
wameelewa namna ya kujilinda wenyewe
Kamanda wa polisi wa mkoa wa katavi
dhahiri kidavashari alieleza kuwa baada ya wananchi kupatiwa elimu
hiyo sasa hivi wamekuwa wakitowa ushirikiano kwa jeshi la
polisi na wamekuwa wakitowa taarifa nyingi za zilizo saidia
kuzuia matukio ya uharifu mbalimbali
Hari hiyo imewafanya wananchi
waweze kuzuia uarifu mdogo mdogo unao tokea
kakika mitaa yao vijjijihi na kwenye kata zao kwa ushirikiano
wa polisi na na vikundi vya askari wa jadi sungusungu
Kamanda kidavashari ameeleza mkoa wa
katavi kwa sasa waharifu hawana mwanya wa kufanya
uharifu hasa kwenye maeneo ambayo sera ya ulinzi
shirikishi ilipo enea na kushamiri
Hari hiyo imefanya inatokana na
wananchi wa maeneo hayo kuwa makini wakati wote na
kuwafuatilia waharifu nyendo zao za uharifu nakuwafanya
waharifu kuwa na hofu ya kutenda makosa mbalimbali ya
jinai kwani muda wote wanahisi kuwa wananchi
wanawafuatilia kuwa kamata
Pia kutokana na polisi jamii
kushamiri wameweza kuwa na ushirikiano mkubwa na sana
na hifadhi ya katavi na wameweza kufanikiwa kukamata majangiri
wengi wenye silaha za kivita
Pia wamefahikiwa meno ya tembo
na kuharibu mtandao wa majangiri na wafanya biashara wa pembe za
ndovu ambao wengi wao wanatoka katika mikoa ya
Dodoma kigomo na dares salaam
Kidavashari alitaja changamoto
baadhi ya changamoto zinazo wakabili kuwa ni uingiaji wa wahamiaji
haramu wa kigeni wanao ingia kinyemela kutoka nchi za congo
drc Zambia na Burundi ambao
wanaingia kwa urahisi kwa vile wana ndugu
zao wanao ishi katika makazi ya wakimbizi ya mishamo na
katumba katika mkoa wa katavi
Vilevile kuwa karibu na na
mikoa ya kigoma na tabora ambako kuna kambi za wakimbizi kutoka
congo na drc hivyo kusababisha kuingia ndani ya mkoa huu ki
rahisi pia wapo wananchi ambao siowaaminifu wamekuwa
wakiwapokea na kuwahifadhi waamiaji haramu
Kutokana na jambo hili kufahamika
wananchi wanapewa elimu kuhusu madhara yanayo
weza kutokea na kupatikana kutokana na kuwahifadhi wahamiaji haramu
Blogzamikoa
0 comments:
Post a Comment