Home » » FAINALI YA POLISI JAMII MPANDA KESHO KUTANGULIWA NA BONANZA‏

FAINALI YA POLISI JAMII MPANDA KESHO KUTANGULIWA NA BONANZA‏

Na Walter Mguluchuma- Katavi yetu Blog
Mpanda- Katavi
Mashindano ya ligi ya Polisijamii ambayo yalikuwa yanazishirikisha timu kumi  fainali zake zinafanyika kesho katika uwanja wa azimio mjini mpanda.
Timu mbili za polisi Katavi na Mpanda United ndizo zimefanikiwa kutinga fainali baada ya kufanikiwa kushinda michezo yao ya nusu fainali.
Katika fainali ya kwanza iliyofanyika juzi timu ya Mpanda United walifanikiwa kuingia fainali baada ya kuifunga Migazini FC goli tano kwa bila na nusu fainali ya pili hapo jana polisi Katavi walifunga Lafamilia FC goli tatu kwa bila.
Mashindanao hayoa yatamalizika keho ambapo mchezo wa kwanza utakuwa ni wa kutafuta mshindi wa atatu  baina ya Migazini FC na Lafamilia FC  na mchezo wa fainali utakuwa ni mchezo baina ya Polisi Katavai na Mpanda United.
Kabla ya michezo hiyo ya kesho kutakuwa na bonazi ya michezo mbalimbali kama vile mpira wa mikono , kuvuta kamba , mbio na kufukuza kuku.
MwishoNa Walter Mguluchuma

0 comments:

Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa