Mkazi wa mtaa wa kawajense Ajensia Kapama akitoa maoni kwenye tume ya taifa ya kupokea maoni ya kurekebisha katiba ambapo alipendekeza umri wa mtoto wa kike kuolewa uwe ni kuanzia miaka 18.
Philiman Kombe akiitolea malalamiko tume ya taifa ya kupokea maoni ya katiba baada ya tume hiyo kumaliza mkutano uliofanyika katika shule ya msingi nyerere katika mtaa wa kawajense huku wananchi wakiwa bado wanahamu ya kutoa maoni yao baada ya malalamiko hayo tume hiyo ilikubali kuwaongezea muda wa dakika 20 ili wananchi waendelee kutoa maoni yao
Picha na Walter Mguluchuma
Picha na Walter Mguluchuma
Blogzamikoa
0 comments:
Post a Comment