Home » » MWANAFUNZI AMLILIA MWENZAKE ALIYEGONGWA, GARI LAPINDUKA KATIKATI YA MJI NA KUJERUHI WATATU

MWANAFUNZI AMLILIA MWENZAKE ALIYEGONGWA, GARI LAPINDUKA KATIKATI YA MJI NA KUJERUHI WATATU



mwanafunzi wa shule ya sekondari ya kashaulili mjini Mpanda akimlilia mwenzake Zacharia Antoni aliyegongwa na pikipiki na kufariki dunia hapo leo katika mtaa wa madukani walipokuwa na rafiki yake huyo wakielekea kupata masomo ya ziada (twisheni) kwa mwalimu wao aliyekuwa akiwafundisha aliyekuwa anaishi katika mtaa wa kawajense.



pikipiki ya bodaboda ikiwa imetelekezwa ikiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya mwendesha bodaboda kumgonga hadi kufariki dunia zacharia Antoni na kisha bodaboda huyo kutoweka pasipo julikana ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 3:00 asubuhi katika mtaa wa madukani mjini mpanda.




Gari lenye usajiri namba T901 AJJ mali ya Soud Ally likiwa limepinduka hapo leo katika eneo la Bismilah Hotel katikati ya Mji wa Mpanda likuwa limeshwheni mzigo wamagogo ambapo katika ajali hiyo watu watatu wamejeruhiwa vibaya na walelazwa katika Hospitari ya Wilaya Mpanda gari hilo lilikuwa linaendeshwa na dreva aliyejulikana kwa jina la Mkombe. Picha na Walter Mguluchuma



0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa