Home » » ELIMU YA POLISI JAMII YATOLEWA KWA SUNGUSUNGU KATAVI

ELIMU YA POLISI JAMII YATOLEWA KWA SUNGUSUNGU KATAVI



Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari akiwahutubia askali wa jadi (sungusungu) na wananchi wa kata ya kakese hapo jana akiwaeleza namna ya kushiriki wao karika suala zima la polisi shirikishi  inavyo kabiliana na uharifu.
 Kamishna wa jeshi la Polisi Ally Mlege  kutoka Makao makuu Dar es salaam akiwahutubia askari wa jadi (Sungusungu)  na wananchi wa kata ya Kakese hapo jana jinsi alipo vutiwa na ulinzi shirikishi unaofanywa katika kata hiyo na kusaidia kupunguza matukio ya uharifu tofauti na ilivyokuwa hapo awali

Picha zote na Walter Mguluchuma mwandishi wa Katavi yetu
Ingia hapa kuona mkoa wako: www.blogszamikoa.blogspot.com

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa