Home » » WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. MAGHEMBE AKIHUTUBIA WAHIFAZI WALIOHITIMU MAFUNZO YA UKAKAMAVU

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. MAGHEMBE AKIHUTUBIA WAHIFAZI WALIOHITIMU MAFUNZO YA UKAKAMAVU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Waziri wa  Maliasili  na  Utalii   Prof   Jumanne   Maghembe  akiwahutubia   wahitimu wa   mafunzo ya   ukakamavu  ambao ni wahifadhi wa  wanyama pori kutoka  Tanapa ,   Mamlaka ya  Ngorongoro  na  Tawa mafunzo yaliofanyika  katika  kituo cha  Mlele   Mkoa     Katavi yaliowashirikisha wahitimu   69 yalifungwa   hapo  jana  na   Waziri    wa  Maliasili  na   Utalii   Prof   Jumanne     Maghembe  ambapo   alieleza  kuwa  Serikali   itaendelea  kulinda maliasili kwa  nguvu zote.
   Picha   na  Walter  Mguluchuma
 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa