Na Walter
Mguluchuma
Katavi
Mkuu wa Wilaya ya
Mpanda Paza Mwamlima amekea tabia
ya baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosomakwenye shule za msingi na sekondari Wilayani
Mpanda waache tabia ya kwenda shuleni wanakosoma watoto wao
na kutowa taarifa za uongo kuwa watoto wao wamekufa iliwafutwe katika
orodha ya wanafunzi na iliwaende kuolewa na kuowa
Mwamlima alitowa kalipio hilo hapo juzi wakati
alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpanda wakati wa maadhimisho ya
sherehe za kutimiza miaka 20 ya chama kikuu cha
ushirika cha wakulima wa
tumbaku cha Mkoa
wa Katavi (LATCU) yaliofanyika
katika viwanja vya idara ya mjini hapa
DC Mwamlima
alisema kumekuwepo na tabia kwa baadhi
ya wazazi wa wanafunzi kwenda
shuleni na kuwaoga fedha wakuu wa shule na kisha huwashawishi waalimu hao kuwaondoa watoto wao
kwenye orodha ya majina ya wanafunzi kwa kisingizio kuwa wamekufa wakati sio
kweli ili watoto hao waache
masomo na kuolewa na kuowa
Alifafanua
bali ya kutowa fedhaa kwa wakuu hao wa shule wazazi hao wengine wamekuwa wakiwaoga mifugo ya Ng’ombe na mbuzi wakuu hao wa shule
na kisha mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule ambazo zimekithiri kwa tabia hiyo
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment