Waziri mkuu
Mizengo Pinda akimkabidhi hati ya utendaji mzuri wa kazi Bibi shamba wa kijiji
cha Itenka wilaya ya Mlele Grace Hokololo wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka
mpya zilizofanyika katika ukumbi wa Lyamba lyamfipa mjini Mpanda, ambapo
hati kama hiyo hutolewa kila mwaka na uongozi wa serikali ya mkoa wa Katavi kwa
mtumishi aliyefanya kazi vizuri. Hati hiyo hutolewa wakati wa mkesha wa mwaka
mpya.
Picha
na Walter Mguluchuma

0 comments:
Post a Comment