Na Walter Mguluchuma, MpandaDreva maarufu wa pikipiki za abiria boda boda mjini MpandaSelemani (Baunsa) (35) amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jelakwa kosa la kuingilia msafara wa Waziri Mizengo Pinda wakati waziara yake Mkoani KataviHukumu hii ilitolewa hapo juzi na Hakimu mkazi mfawidhi wamahama ya ya wilaya ya Mpanda Chiganga Tengwa hukumu ambayo iligusahisia za watu wengi wa mji wa mpandaAwali katika kesi hiyo mwendesha mashita wa polisi Ally Mbwijoaliiambia mahama kuwa Sele Baunsa alitenda kosa hilo lakuingilia msafara wa hapo Demba 16 mwaka jana majira ya saa 11jioni katika eneo la benki ya CRDB wakati waziri mkuu MizengoPinda alipo kuwa akirejea nyumbani kwake Mtaa wa Makanyagio wakatiakitokea wilayani MleleAlieleza mahamani hapo pomoja na Semani kisimamishwa na askari wausalama barabarani ili aupishe kwanza msafara huu hakuweza kutiiagizo hilo na ndipo alipo ingiza pikipiki yake na kuanzakupishana na msafara huoMwendesha mashitaka huyo alisema baada ya kutokea hari askari wausalama barabarani walianza kumfukuza na walifanikiwa kumkamatahata hivyo aliwagomea kumpeleka kituo cha polisi kwa kile alichodai hawezi kwenda kituo cha polisi hadi hapo atakapo fika kamandawa polisi wa mkoa huo kwa kile alicho kidai askari wa usalamabarabarani wamemuoneaKamanda wa mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari ambae nae alikuwakwenye msafara huo alifika kwenye eneo hilo na kuamuru mwendeshapikipiki huyo ampelekwe kituo cha polisi agizo ambalolilitekelezwa na mshitakiwa alitii amrii hiyoKarika kesi hiyo mwendesha mashitaka alimsomea mashitaka matanomshitakiwa ambaye alifikishwa mahamani hapo kwa mara ya kwanza hapodesemba 18 mwaka janamashitaka aliyo shitakiwa mahamani hapo ni kiendesha pikipiki akiwaamelewa, kuingilia msafara wa Waziri Mkuu, kuendesha pikipiki bilaleseni , kuendesha pikipiki akiwa amelewa pombe na kusimamishwa napolisi na kukataa kusimamaHakimu Tengwa baada ya kusikiliza kesi hiyo alisema mahamani hapokuwa ameridhika na mwenendo wa kesi hiyo kwa ushahidi wa pande hizombili za mashitaka na uteteziAlisema mahakama imemuona mshitakiwa ana hatia hivyo kabla yakutolewa kwa hukumu inatowa nafasi kwa mshitakiwa ajiteteeKatika utetezi wake aliiomba mahakama imwachie huru kwani askariwa usalama barabarani walimkamata kwenye eneo hilo kwa kumfananishaaliye ingilia msafara hakuwa yeye bali ni mwendesha pikipikimwingine sio yeyeHakimu Tengwa alipinga ombi hilo kwa kile alicho eleza kuwa mahakamahaiko tayari kuona watu wanashindwa kutii amri za usalama barabaranina ndio imekuwa chanzo cha ajari za mara kwa mara na kusababishavifo vya watu kwa hari hiyo mahakama imetowa adhabu ya faini yashilingi 500,000 kwa Selemani au keanda jera miezi mitatuMshitakiwa alishindwa kulipa faini hiyo aliiliyo pelekea aende jelakutumikia kufungo cha miezi mitatu jela katika gereza la mpanda mjinimwisho
Home »
» MWENDESHA PIKIPIKI JELA KWA KUINGILIA MSAFARA WA PINDA
0 comments:
Post a Comment