Nawalter Mguluchuma
Sumbawanga
Waandishi wa wa mikoa ya katavi na Rukwa wametakiwa kuepukana na kuandika habari ambazo ambazo zina weza kusababisha uvunjwaji wa amani hapa nchini hivyo ni vizuri wakatanguliza uzalendo kwanza
Ushauri huu umetolewa hapo jana na Mkuu wa wilaya ya Nkasi Idd Kimanta alipo kuwa akifungua mkutano mkuu wa chama cha waandishi wa habari wa mkoa Rukwa (RKPC) hapo jana katika ukumbi wa chama cha waalimu mkoa wa Rukwa ulio washirikisha pia waandishi wa habari kutoka mkoa wa Katavi
Alisema waandishi wa habari ni watu ambao jamii inawaamini sana hivyo wanapo tumia vibaya taaluma hiyo wanaweza wakasababisha kuvunjika kwa amani kutokana na imani walio nayo juu yao
Alifafanua kuwa wana hababari ni vizuri wakawa ni watu wakutenda mema kwenye jamii ya watu na watu watawapenda na kujenga imani kwa wanahabari
Kimanta aliwataka waachane na kufanya kazi kwa mazoea bali wafanye kazi kwa kufuata tija
Pia aliwaomba washirikiane na jamii inayo wazunguka ili kuimalisha mausano hivyo wasiwe ni watu wanao jiona
Alisema waandishi wa habari waejiepushe na kutumiwa na watu kwa kuwatumia vibaya kuchafua watu na wengine kuwapa sifa ambazo hawana na wasipende kuandika habari za viongozi tuu bali waandike na maswala ya Vijijini
jitahidini kujielimisha na elimu mbambali ili muweze kubobea kwenye taaluma hiyo sio kila mwandishi wa habari sio kila mwandishi anaweza kuandika vizuri habari mbazo haja zibobea someni uhumi someni afya elimu na michezo alisema mkuu huyo wa wilaya ya Nkasi
Nae msoma risara Juddy Ngonyani akisoma risala hiyo kwa mgeni rasimi wa mkutano huo mkuu wa waandishi wa habari alisema kuwa waandishi wa habari wa mikoa hiyo ya Rukwa na Katavi wanakakiliwa na changamoto mbalimbali
Ambazo alizitakuwa ni ukosefu wa usafiri hari anayo pelekea kudandia magari ya viongozi wa serikari na wasiasa na kuwafanya wakati mwingine kuandika habari kama wanavyo taka viongozi
changamoto nyingine ni uwezo mdogo wa kiuchumi hari inayo sababisha waandishi washindwe kujiendeleza kielimu
mkutano huo ulimteuwa mkuu huyo wa wilaya ya Nkasi kuwa mlezi wa chama hicho na amehaidi kuwa nunulia vifaa vya awali kwa ajiri ya kuanzisha gazeti la chama hicho na tayari ameagiza vifaa nchini Marekani
0 comments:
Post a Comment