Home » » DAWA YA KULEVYA AINA YA BANGI NA KETE 105 ZIKIWA MIKONONI MWA JESHI LA POLISI MKOA WA KATAVI‏

DAWA YA KULEVYA AINA YA BANGI NA KETE 105 ZIKIWA MIKONONI MWA JESHI LA POLISI MKOA WA KATAVI‏


Dawa ya kulevya aina ya Bangi ikiwa mikononi mwa jeshi la polisi mkoa wa katavi yenye uzito wa kg 10 na kete 105 za Bangi walizokamatwa nazo watu watatu hapo juzi Kandala eDWARD (20), Revocatus Remmy (30) wote wakazi wa mtaa wa Kawajense mjini hapa na Deodatha Gabriel (40) mkazi wa Kigamboni. Watuhumiwa hao walikamatwa kufuatia msako wa jeshi la polisi wilayani mpanda baada ya kupata taarifa kuwa watu hawa wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya aina ya Bangi
Picha na Walter Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa