Home » » OFISI YA MBUNGE TAABANI‏

OFISI YA MBUNGE TAABANI‏



Ofisi inayotumiwa na Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Said Arfi pamoja na Mbunge wa viti maalumumkoa wa Katavi  Anastella Mallack ikiwa katika hari mbaya ya kujaa maji katika eneo la mbele ya ofisi kufuatia mvua za masika hari inayo wafanya wabunge hao kufanyia shughuli zao za kiofisi barabarani na nyumbani.
PICHA NA WALTER MGULUCHUMA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa