Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini ambae pia ni makamao mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Chadema Said Arfi akiwa hutubia wakazi wa mji wa Mpanda kwenye mtaa wa Majengo B ambapo aliwaomba Viongozi wa mkoa huu kufanya kazi kwa kutofuta chuki za kisiasa.
Wananchi wa mji wa Mpanda wakiwa kwenye mkutano wa hadhara ulio fanyika juzi katika mtaa wa majengo B wakimsikiriza Mbunge wao wa jimbo la mpanda mjini Said Arfi ambae pia ni makamu wa mwenyekiti taifa wa chandema .
Picha na Walter Mguluchuma -mpanda
0 comments:
Post a Comment