Naibu Waziri wa Madinii Doto Biteko wapili kushoto wakati akiwa
kwenye mgodi wa mani wa Kampuni ya Kapufi and Katavi wakati wa
ziara yake aliyoifanya kwenye mgodi huo kwa lengo la kuangalia shughuli
zinazofanywa na Kampuni hiyo mgodi huo uliomkubwa kuliko migodi
mingine katika Mkoa wa Katavi upo katika eneo la Singililwa
Wilayani Mpanda.
Picha na Walter Mguluchuma
Picha na Walter Mguluchuma
0 comments:
Post a Comment