Home » » MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA WAKATI WAZIRI WA NCHI ,OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI ,VIJANA ,AJIRA, NA WATU MWENYE ULEMAVU JENISTA MHAGAMA ALIPOKUWA AKIGAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE ZITAKZO ZINDULIWA MKOANI KATAVI

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA WAKATI WAZIRI WA NCHI ,OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI ,VIJANA ,AJIRA, NA WATU MWENYE ULEMAVU JENISTA MHAGAMA ALIPOKUWA AKIGAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE ZITAKZO ZINDULIWA MKOANI KATAVI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Waziri wa    Nchi  ofisi ya   Waziri  Mkuu  Sera,  Bunge ,  Kazi,Vijana    Ajira  na    Watu   wenye  ulemavu   Jenista    Mhagama   aliyekatika  kati    akiwa na      Mkuu  wa   Mkoa  wa   Katavi   Meja    Generali  Mstaafu  Raphael   Muhuga   pamoja  na    Mkuu   wa   Wilaya  ya   Mpanda..
  Mkuu  wa   Mkoa wa   Katavi   Meja   Generali   Mstaafu  Raphael  Muhuga  akimwongoza  Waziri  wa   Nchi   Ofisi ya  Waziri   Mkuu   Sera   Bunge ,Kazi   Vijana   Ajira   na  Watu  wenye  ulemavu   Jenista   Mhagama  kukagua  uwanja  unaojengwa   ambao  zitafanyika   shughuli za  uzinduzi wa  mbio za    Mwenge   Mkoani  Katavi  hapo   Aprii  2  2017
Waziri    wa  Nchi  Ofisi  ya  Waziri   Mkuu   Sera,  Bunge    Kazi ,   Vijana   ,Ajira na  Watu  mwenye  ulemavu   akikagua uwanja     mpya unaojengwa   Mkoani   Katavi   katika   eneo la  Mtaa wa   Ilembo   Manispaa ya  Mpanda    unaitwa   Mwenge   ambao  ndio  utakaotumika kwa  ajiri ya uzinduzi wa   mbio  za  Mwenge wa  Uhuru  hapo  Aprii  2/     2017
Picha   zote  Na  Walter    Mguluchuma Katavi yetu Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa