Na Walter
Mguluchuma
Katavi
Akinamama
wajawazito watatu wamefariki Dunia Wilayani Mlele Mkoani Katavi
wakati wakujifungua katika kituo cha Afya cha Inyonga na
Mamba kutokana na sababu
mbalimbali ikiwepo kutokkwa na damu nyingi wakati wa kujifungua
katika kipindi cha mwezi septemba
2014 hadi hadi Novemba
mwaka huu
Mraribu
wa Afya yaMama na Mtoto
wa Wilaya ya
Mlele Lucy Songoro
alisema hayo hapo jana
alipokuwa akitowa taarifa mbele
ya mwandishi wa habari hizi kuhusiana na taarifa ya vifo vilivyo tokea katika
kituo ch Afya cha Inyonga kwa kipindi miezi mitatu ya
Septemba hadi Novemba
Alisema katika
vifo hivyo vitokanavyo na uzazi wajawazito wawili alifariki
mwezi wa Septemba
katika kituo cha Afya cha Inyonga
na Mamba
kutokana na kutokwa na damu nyingi
kabla ya kujifungua
Alifafanua kuwa katika kipindi cha mwezi uliofuata yaani mwezi Oktoba alifariki mama mjamzito mmoja kilichosababishwa na upungufu
mkubwa wa damu
uliotokea baada ya kupasuka mfuko wa
kizazi
Ailsema katika kipindi cha mwezi Novemba hakukuwepo
na kifo chochote cha mama mjamzito
alifariki Dunia wakati wa kujifungua na kabla ya kujifungua
Alieleza
vifo ambazo vimekuwa vikitokea
kwenye kituo hicho cha Afya cha Inyonga
vimekuwa vikisababishwa na sababu mbalimbali
Alizitaja sababu zinazosababisha vifo hivyo
vinatokana na maambukizi baada ya wajawazito kujifungulia nyumbani na kutopata
matibabu kwa wakati
Pia vinatokana
na magonjwa nyemerezi
kwa kuchelewa kupata tiba
ya dawa za kupunguza makali ya
VVU
Alisema vifo hivyo vimekuwa vikitokana na na
upungufu mkubwa wa damu
unaotokea nymbani baada ya kupoteza damu
nyingi
Songoro
alisema vifo hivyo pia vimekuwa
vikitokea vimekuwa vikisababishwa na
maambukizi baada ya kujifungua
kufutia upasuaji baada ya mtoto kuwa
ameozea tumboni
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment