Walter mguluchuma
katavi
viongozi wa
chama cha demokrasia na maendeleo chadema mkoa wa katavi
hatimae wamejiondoa rasmi katika chama hicho na kwenda chama
cha ACT Allince for change and Transparency ambacho kinakuja
kwa kasi kubwa hasa mikoa ya ukanda wa ziwa Tanganyika.
Akizungumza na waandishi wa habari wa mtandao huu Joseph Mona ambae alikuwa katibu wa chama hicho mpanda mjini alisema kuwa kumekuwa na sintofahamu ya muda mrefu ndani ya chama hicho hatua mbayo imewafanya wao kujiengua richa ya baadhi ya viongozi wao kusimamishwa uongozi akiwa aliekuwa mwenyekiti wa chama mkoa Mzee John Malaki
Ata hivyo Mona amesema chanzo cha malumbano ndani ya chama hicho kimetokana na baadhi ya viongozi wa kitaifa kutowajali wanachama na uongozi uliokuwa madarakani uku wakiwatuhumu baadhi ya viongozi na mbunge wa chama hicho jimbo la mpanda Said Amour Arfi kuwa walitumiwa na ccm kuacha nafasi wazi ya jimbo la mlele na kumuachia kupita bila kupingwa mh waziri mkuu mizengo Pinda maarufu kama mtoto wa mkulima uku wakidai mbunge wa chama hicho hausiki kwa namna yoyote juu ya suala hilo.
viongozi hao waliotoka madarakani wamekituhumu chama hicho kutotoa fedha za ruzuku kwa wakati ama kutotoa kabisa na kukifanya chama hicho kutojiendesha chenyewe
Alisema pia kumekuwa na matumizi mabaya ya fedha ndani ya chama hicho uku kikao cha mawasiliano ndani ya mkoa kikifumbia macho hali hiyo
Mona amewataja wanachama waliofukuzwa hapo na chama hicho ambao sasa wamejiengua kabisa kuwa ni pamoja na Cnraradi Sinkala(mwenyekiti kata ya makanyagio) IDEPHONCE KITUNDU (mwenyekiti kata ya ilembo)YASINI LUDANGA (MWENYEKITI KATA YA nsemlwa, medadi khalfan katibu kata nsemlwa,Mohamed kazyoba mjumbe kamati tendaji jimbo,SEFU JUMA mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la mpanda mjini,Clispin Salya mjumbe kamati tendaji jimbo,Ana Paulo mwenyekiti wa BAWACHA mkoa,Rukia Juma Mhasibu wilaya mpanda,
wengine ni Charles mwenyekiti kata ya Misungumilo,Beatrice Baraga mwenyekiti BAWACHA jimbo,GODI KAPUFI mwenezi jimbo mjini mpanda,joseph mona katibu jimbo mjini,Sefu Said Spia mwenyekiti jimbo la mpanda na aliekiuwa mwenyekiti wa mkoa Jonh Malaki ambao wote hawa walifukuzwa ndani ya chama kwasababu ya kuhoji na kufatilia matumizi ya pesa za uendeshaji wa chama hicho
ata hivyo wanadai walifukuzwa kupitia kikao cha Mashauriano ya mkoa na kusema hakikuwa kikao halali chenye mamlaka ya kufukuza na kusema kikao chenye mamlaka ya kufukuza kinidhamu ni kikao cha baraza la uongozi mkoa
akijibu hoja hizo kaimu mwenyekiti wa mkoa ambae pia ni mwenyekiti wa baraza la vijana sasa Mangweshi anadai viongozi hao walifukuzwa kwa sababu ya kuwa mamalukli wa chama cha mapinduzi na kusema chadema itaendelea na kwamba imeanza na mungu,ipo na mungu na itamaliza na Mungu uku akishangazwa kuanzishwa kwa chama hicho kwa kuwa watu wanataka maendeleo na sio n vyama.

0 comments:
Post a Comment