Home » » ANGALIA PICHA ZA NGOMA YA UYEYE UONE WANAVYOCHEZA NA CHATU

ANGALIA PICHA ZA NGOMA YA UYEYE UONE WANAVYOCHEZA NA CHATU

 Wachezaji wa ngoma ya asili aina ya Uyeye kutoka Tarafa ya Inyonga Wilayami Mlele Mkoa wa Katavi wakicheza ngoma huku wakiwa wameshika nyoka aina ya Chatu wakati wa uzinduzi wa kamati ya usalama barabarani Mkoa wa Katavi katika sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda.
 mchezaji wa ngoma aina ya uyeye maarufu kwa kabila la wakonongo kutoka tarafa ya inyonga wilaya ya mlele akicheza ngoma huku akiwa ameshika nyoka aina ya chatu wakati wa sherehe ya uzinduzi wa kamati ya usalama barabaabi mkoa wa katavi iliyofanyika jana katika uwanja wa shule ya msingi kashaulili mjini mpanda.
 Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr. Rajab Rutengwe akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mpanda katika uwanja wa shule ya msingi kashaulili wakati wa sherehe za uzinduzi wa kamati ya usalama barabarani ya mkoa wa katavi ambapo amepiga marufuku kwa bodaboda wote kupakia abiria zaidi ya mmoja (mishikaki)
Wachezaji wa ngoma ya asili aina ya Uyeye kutoka Tarafa ya Inyonga Wilayami Mlele Mkoa wa Katavi wakicheza ngoma wakati wa uzinduzi wa kamati ya usalama barabarani Mkoa wa Katavi katika sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda.

Picha na walter mguluchuma
Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa