Home » » HATARI: MAITI YAOKOTWA BARABARANI

HATARI: MAITI YAOKOTWA BARABARANI

  Mwili wa mtu ambaye haikuweza kutambuliwa mara moja uliookotwa ukiwa umelazwa pembeni ya barabara katika mtaa wa kawajense hapo jana majira ya saa moja asubuhi, Mwili huo ulikutwa ukiwa na jeraha kichwani na huku ukiwa umevuliwa Suluali na viatu na watu wasiojulikana

 Askari wa kikosi cha upelelezi wa wilaya ya mpanda mkoa wa Katavi wakichukua maiti ya mtu huyo ambaye hakuweza kutambuliwa jana katika mtaa wa kawajense majira ya saa moja asubuhi wakiwa wameweka kwenye machela kwa lengo la kupakia kwenye gari lao la polisi ambapo waliupeleka kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospital ya wilaya ya mpanda

Picha zote na water Mguluchuma Katavi yetu blog

1 comments:

Tulinagwe said...

Ina huzunisha kwa kweli...

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa