WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA MKUU
WA MKOA WA TABORA AGREY MWANRI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MPANDA WAKATI
WA MAKABIZIANO YA MWENGE WA UHURU YALIOFANYIKA JANA KATIKA UWANJA WA
NDEGE WA MPANDA KUFUTIA MWENGE WA UHURU KUMALIZA MBIO ZAKE KATIKA MKOA
WA TABORA NA KUKABIDHIWA KWA VIONGOZI WA MKOA WA KATAVI BAADA YA
KUSAFIRISHWA KWA NDEGE KUFUATIA BARABARA INAYOIUNGANISHA MIKOA HIYO
KUFUNGWA KUTOKANA NA DARAJA LA MTO KOGA KUJAA MAJI PINDA NI MIONGONI MWA
MAEFU YA WAKAZI WA MKOA WA KATAVI WALIOSHIRIKI MAPOKEZI HAYO.
WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WA MWAKA 2018 CHARLES KABEHO HAPO JANA MARA BAADA YA MWENGE WA UHURU KUWASIRI MKOANI KATAVI KWA AJIRI YA KUANZA MBIO ZAKE ZA SIKU TANO MKOANI KATAVI PINDA ALIKUWA NI MIONGONI MWA MAEFU YA WATU WAOSHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE ULIOPOKEKEWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MPANDA UKIWA UNATOKEA MKOANI TABORA ULIOSAFIRISHWA KWA NDEGE KUFUATIA BARABARA INAYOIUNGANISHA MIKOA HIYO KUFUNGWA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA.
PICHA NA WALTER MGULUCHUMA
0 comments:
Post a Comment