Home » » TUKIO KATIKA PICHA: TAZAMA PICHA 6 ZA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MWANGAZA WAKIWA WAMELALA HUKU WAMEPOTEZA FAHAMU BAADA YA MSHITUKO WA MIRINDIMO YA RISASI.

TUKIO KATIKA PICHA: TAZAMA PICHA 6 ZA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MWANGAZA WAKIWA WAMELALA HUKU WAMEPOTEZA FAHAMU BAADA YA MSHITUKO WA MIRINDIMO YA RISASI.


 Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanawasaidia wenzao waliopoteza fahamu
 Huduma ikiwa inaendelea
 Wanafunzi wakiwa wamepoteza Fahamu kwa mshituko

 Mmoja wa wanafunzi akiwa anahudumiwa

 Mmoja wa wanafunzi akiwa katika gari kukimbizwa Hospitali kwa ajili ya matibabu
wanafunzi wa shule ya Sekondari ya mwangaza wakiwa wamelala huku wakiwa wamepoteza fahamu  baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi kwenye  eneo la shule hiyo kufuatia  vurugu zilizotokea kwenye soko la Mpanda Hoteli jirani  na shule hiyo hari ambayo iliwashangaza wengi kwa jeshi hilo la polisi kwenda kupiga mabomu kwenye shule hiyo ya sekondari
Picha  na Walter Mguluchuma-Katavi yetu Blog

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa