Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanawasaidia wenzao waliopoteza fahamu
Huduma ikiwa inaendelea
Wanafunzi wakiwa wamepoteza Fahamu kwa mshituko
Mmoja wa wanafunzi akiwa anahudumiwa
Mmoja wa wanafunzi akiwa katika gari kukimbizwa Hospitali kwa ajili ya matibabu
wanafunzi wa shule ya Sekondari ya mwangaza
wakiwa wamelala huku wakiwa wamepoteza fahamu baada ya polisi kufyatua
mabomu ya machozi kwenye eneo la shule hiyo kufuatia vurugu
zilizotokea kwenye soko la Mpanda Hoteli jirani na shule hiyo hari
ambayo iliwashangaza wengi kwa jeshi hilo la polisi kwenda kupiga mabomu
kwenye shule hiyo ya sekondari
Picha na Walter Mguluchuma-Katavi yetu BlogIkiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.






No comments:
Post a Comment