Na Walter Mguluchuma Mpanda- Katavi yetu
POLISI mkoani Katavi linawashikia mkazi wa kitongoji cha Kalufweshi katika kijiji cha Kakese – Mwakajuni Emanuel John (45) na mkewe Neema Edson (30) wakihusishwa na kuuawa kwa kikatili kwa hawara ya mshtakiwa .
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi , Focus Malengo amemtaja marehemu kuwa Theodora Mwamba (37)aliyeuawa kwa kucharanga kwa mapanga kichwani , kifuani na mgongoni akieleza kuwa chanzo chake ni wivu wa kimapenzi .
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake , Kaimu Kamanda , Malengo alidai kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamikia Julai 13 , mwaka huu sasa sita usiku katia kitonngoji hicho cha Kalufweshi.
Akisimulia undani wa mkasa huu aliouita wa kikatili , Kaimu Kamanda , Malengo alidai kuwa mwezi mmoja kabla ya kutokea kwa kisa hiki , Emanuel na Theodora waliamua kuishi kinyumba baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu.
Inadaiwa kuwa wakati mshtakiwa akiishi na mkewe wa ndoa Neema pia alikuwa na mahusiano hayo ya kimapenzi na Thedora na kuzaanje ya ndo mtoto mmoja wa kie aitwae Lily ..
Kwa mujibu wa Malengo , Julai 12 mwaka huu wageni wawili wa kiume walifika nyumbani kwa Theodora na kuomba maji ya kunywa kisha wakaondoka baada ya kunywa maji hayo .
Anaeleza kuwa usiku wa manane , Julai 13 Emanuel akiwa amelalala nyumba kwa ‘mpenzi’ wake Theodora aligutushwa na mwanga wa tochi uliokuwa ukimulika chumbani walimolala kupitia dirishani .
Inadaiwa watu hao waliokuwa wakimulika mwanga wa tochi chumbani walimolala Theodara na Emanuel walisikika wakijieleza kuwa wao walikuwa wametoka majimboni na kwamba walitaka kujua hapo walipo ni nani anaeishi .
“Ndipo mshtakiwa alipowajibu kuwa ni nyumbani kwa mama Lily ndipo watu hao waliokuwa nje ya nyumba hiyo walijieleza kuwa walikuwa wametoka machimbon na kwamba walikuwa wamefuata madini ya dhahabu kwa mama Lily “ anaeleza Kaimu Kamanda Malengo .
Aliongeza kuwa ndipo walipofungua kwa nguvu mlango wa mbele wa nyumba hiyo na kuingia ndani wakiwa na silaha za jadi na kuanza kuwashabulia kwa kuwacharaza fimbo “Emanuel Na Theodora walifanikiwa kuwaponyoka wavamizi hao na kila mmoja wao kukimbia maeneo tofauti kusalimisha maisha yao “ anabainisha .
Inadaiwa kuwa mshtakiwa (Emanuel) baadae aliamua kurejea nyumbani kwa Theodora na kukuta akiwa ameuawa kikatili kwa kucharangwa na mapanga mita chache kutoka nyumbani kwake .

Mauwaji
ya mwanamke huyo niyatatu kutokea kwa watu kuuwa kikatili kwa kipindi
cha wiki moja mauwaji mengine ya watu kuuwa kikatili yaliitokea katika
vijiji vya Kamsanga , Vikonge

0 comments:
Post a Comment