Bodaboda wakiwa wanahangaika kutaka mafuta
Hali tete hapa Katavi mpanda muda huu
Kila mtu anataka mafuta
Hakuna matumaini ya kupata mafuta
Malori ya Mafuta yakiwa yamepaki bila kushusha mafuta
Mafuta sasa yapanda bei kutoka Tsh.2218 kufikiaTsh 2435
Mpaka sasa Mafuta ndio yameanza kuuzwa kwa kusua sua
Endelea kufuatilia hapa
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Picha zote na Katavi yetu Blog





0 comments:
Post a Comment