Friday, July 4, 2014

BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA : HALI TETE KATAVI VITUO VYA MAFUTA VYAGOMA KUUZA MAFUTA KWA SIKU MBILI.

 Bodaboda wakiwa wanahangaika kutaka mafuta
 Hali tete hapa Katavi mpanda muda huu
 Kila mtu anataka mafuta
 Hakuna matumaini ya kupata mafuta
 Malori ya Mafuta yakiwa yamepaki bila kushusha mafuta
Mafuta sasa yapanda bei kutoka Tsh.2218 kufikiaTsh 2435
Mpaka sasa Mafuta ndio yameanza kuuzwa kwa kusua sua
Endelea kufuatilia hapa
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Picha zote na Katavi yetu Blog

No comments:

Post a Comment