Home » » PINDA AKABIDHI HATI YA UTENDAJI BORA WA KAZI KWA BIBI MWAKA 2013

PINDA AKABIDHI HATI YA UTENDAJI BORA WA KAZI KWA BIBI MWAKA 2013

Waziri mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi hati ya utendaji mzuri wa kazi Bibi shamba wa kijiji cha Itenka wilaya ya Mlele Grace Hokololo wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka mpya zilizofanyika katika  ukumbi wa Lyamba lyamfipa mjini Mpanda, ambapo hati kama hiyo hutolewa kila mwaka na uongozi wa serikali ya mkoa wa Katavi kwa mtumishi aliyefanya kazi vizuri. Hati hiyo hutolewa wakati wa mkesha wa mwaka mpya.
Picha na Walter Mguluchuma  

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa