Na Walter Mguluchuma
Mpanda
Halmashauri ya mji wa Mpanda Mkoa wa Katavi imeanza kutekeleza agizo lililo tolewa na Naibu wa waziri wa TAMISEMI Aggrey Mwanri la kuusafisha mji huu kwa kuondoo taka zilizo lundikana kwenye madapu katika mitaa mbalimbali ya mji wa mpanda
Agizo hili a<lilitowa kufuati kutolizika na hari ya majingira ya mji huu baada ya kujionea taka zikiwa zimeenea katika stendi kuu ya mji huu wakati alipo kuwa akiweka jiwe la msingi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha inayo zunguka stendi hiyo mwanzoni mwa wiki hii
Mwanri aliwapa siku tatu viongozi wa Halmashaura hii kuhakikisha wanaondoo taka zote za mji wa mpanda na kusafisha mitaro iliyo jaaa taka na michanga na endapo kama wasinge tekeleza agizi hili angewawajibisha
viongozi wa Halmashauri baada ya kupewa maagizo walianza kusimamia zoezi la kuondoo taka na kufukua mitaro na kuufanya mji huu kurudia hari yake ya kuwa na mazingira masafi
Naibu waziri ilihahakishe kama kweli agizo lake alilo litowa limetekelezwa alifanya jana ziara ya kukagua usafi katika mitaa mbalimbali na kuridhika na zoezi ambalo limeisha fanyika la kusafisha mji
pia wakati akikagua mazingira ya mji huu alikuta watu wakiendelea na shughuli zikiwa zina endelea kufanyika na aliwaeleza viongozi alio kuwa ameambatana nao kwenye zoezi hili kuwa ameshutushwa na Halmashauri ya mji wa mpanda kuwa ndio inayo ongoza hapa nchini kwa usafi wa mazingira katika Halmashauri za miji wakati mazingira hayaridhishi
0 comments:
Post a Comment