Wednesday, January 30, 2013

HALMASHAURI YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI LA KUSAFISHA MJI‏


Na Walter  Mguluchuma
Mpanda
Halmashauri ya mji wa Mpanda Mkoa wa Katavi imeanza kutekeleza agizo   lililo  tolewa na Naibu wa  waziri  wa TAMISEMI  Aggrey Mwanri  la kuusafisha  mji huu kwa kuondoo  taka zilizo lundikana kwenye  madapu  katika  mitaa mbalimbali ya mji wa mpanda
Agizo hili  a<lilitowa kufuati  kutolizika  na hari ya  majingira  ya mji huu  baada ya kujionea taka zikiwa zimeenea  katika  stendi  kuu ya mji  huu  wakati  alipo  kuwa akiweka jiwe  la msingi  wa  ujenzi wa barabara kwa kiwango  cha  inayo zunguka   stendi  hiyo  mwanzoni mwa wiki hii
Mwanri  aliwapa  siku  tatu  viongozi  wa  Halmashaura hii  kuhakikisha  wanaondoo taka zote za mji wa mpanda  na  kusafisha  mitaro  iliyo  jaaa taka  na michanga  na endapo kama  wasinge  tekeleza  agizi  hili  angewawajibisha
viongozi  wa Halmashauri  baada ya kupewa maagizo  walianza kusimamia   zoezi la kuondoo taka  na kufukua   mitaro  na kuufanya  mji huu  kurudia hari yake ya kuwa na mazingira masafi
Naibu  waziri ilihahakishe  kama kweli agizo lake  alilo litowa  limetekelezwa alifanya jana ziara  ya kukagua  usafi  katika  mitaa mbalimbali  na kuridhika  na zoezi  ambalo  limeisha fanyika  la kusafisha mji
pia wakati akikagua  mazingira ya mji huu  alikuta watu wakiendelea  na shughuli   zikiwa zina endelea  kufanyika  na  aliwaeleza viongozi  alio kuwa ameambatana nao kwenye  zoezi hili  kuwa ameshutushwa  na  Halmashauri ya mji wa mpanda  kuwa ndio inayo ongoza hapa nchini  kwa usafi wa  mazingira  katika Halmashauri za miji  wakati  mazingira hayaridhishi

No comments:

Post a Comment