Home » » BODABODA WAKIWA KATIKA FOLENI YA MAFUTA KUFUATIA MJI WA MPANDA KUWA NA TATIZO LA UKOSEFU WA MAFUTA YA PETROL‏

BODABODA WAKIWA KATIKA FOLENI YA MAFUTA KUFUATIA MJI WA MPANDA KUWA NA TATIZO LA UKOSEFU WA MAFUTA YA PETROL‏

 Waendesha pikipiki wa mji wa mpanda (Bodaboda) wakiwa kwenye foleni kwenye kituo cha kuuza mafuta cha GBP hapo jana kilichopo maeneo ya madukani mjini mpanda wakiwa wanahitaji huduma ya mafuta ya petrol kufuatia kuwepo na uhaba wa mafuta hayo katika mji wa mpanda na kupelekea mafuta hayo kuuzwa mitaani kwa bei ya kuruka ambapo mitaani lita moja inauzwa kwa bei ya sh. 5000 

Wakazi wa mji wa mpanda wakiwa kwenye kituo cha kuuza mafuta cha GBP kilichopo eneo la madukani wakiwa wamekusanyika wakigombea kuuziwa mafuta ya petrol ambao yalikuwa yanauzwa kituoni hapo kutokana na mji huo kuwa na tatizo la upatikanaji wa petrol hali iliyowalazimu kutofuata utaratibu wa kupanga foleni na badala yake kugombania kila mmoja awe wa kwanza kuuziwa mafuta kutokana na hali hiyo ya uhaba wa mafuta baadi ya,  walanguzi  wamekuwa wakiuza lita moja ya mafuta mitaani kwa bei ya sh. 5000 kwa lita.

Picha na Walter Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa