Bw. Amir Hashim Mkumba (57) mfanyabiashara, mkazi wa mtaa wa Makanyagio, Kata ya Makanyagio, Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani humo hivi karibuni.
Bw.Michael Elias Ndabi (21) mkazi wa mtaa wa Makanyagio, Kata ya Makanyagio, Wilayani Mpanda, mkoani Katavi akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani humo hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment