Home » » Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ukakamavu kwa wahifadhi wanyapori

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ukakamavu kwa wahifadhi wanyapori

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Waziri wa  Maliasili na Utalii  Prof   Jumanne  Maghembe  akikabidhi  vyeti  kwa wahitimu wa mafunzo ya ukakamavu kwa wahifadhi wanyapori kutoka TANAPA,TAWA NA MAMLAKA YA NGORONGORO yaliyofanyika ktk kituo cha maunzo  mlele mkoani katavi,mafunzo hayo yameshirikish awahitimu 69 yamemalizika hapo jana picha zote na walter mguluchuma 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa