Home » » PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATAVI

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATAVI

 Biashara ya ikiendelea kando kando ya barabara pasipo kujali hatari zinazoweza kujitokeza kama ambavyo wakina mama hawa walinaswa wakiuzwa nyanya jana kati eneo la City. Picha na Mussa Mwangoka
 Wananchi wa mji wa Mpanda wakinunua ndizi katika kuu la Mpanda Hotel, bei ya mkungu mmoja wa ndizi uuzwa ati ya Sh 13000 hadi Sh 15000. picha na Mussa Mwangoka.
 Wananchi wa mji wa Mpanda wakinunua ndizi katika kuu la Mpanda Hotel, bei ya mkungu mmoja wa ndizi uuzwa ati ya Sh 13000 hadi Sh 15000. picha na Mussa Mwangoka.
 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Songambele katika kata ya Nsimbo nje kidogo ya mji wa Mpanda akiwa katika foleni ya ksubiri maji, mji wa mpanda na vitongoji vyake unakabiliwa na kero kubwa ya maji hasa nyakati za kiangazi. Picha na Mussa Mwangoka.
 Mkazi wa kijiji cha Songambele kata ya Nsimbo wilayan Mpanda Helman Kasey akichangia mada katika mdahalo wa mabadiliko ya tabianchi yalioendeshwa na asasi isiyo ya kiserikali mkoani Rukwa (Rango). Picha na Mussa Mwangoka
Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa