Na Walter Mguluchuma .
Katavi .
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Mkoani Katavi Sebastian Kapufi amewpati msaada wa baiskeli mbili za kutembele watu wawili wenye wa viungo vya miguu ambao hawana uwezo wa kutembea kwa miguu.
Kitendo hicho ni kutimiza ahadi aliyoitowa wakati wa ziara yake aliyoifanya jimboni kwake kwenye Kata za Kawajense na Kasokola ambao walemavu hao wawili walimbomba Mbunge huyo awampe msaada wa Baiskeli za kutembele walemavu na aliwahidi kufanya hivyo
Wakati wa ziara hiyo Mbunge huyo alifanya mikutano ya hadhara kwenye Kata hizo na ndipo alipoweza kupokea ombi hilo na yeye kuahidi kuliteleza .
Akizungumza baada ya kubadhiwa baiskeli hiyo Justine Petro 31 Mkazi wa Mtaa wa Kwajense mwenye uremavu wa viungo vya miguu alisema anashukuru san Mbunge huyo kwa kuteleleza ahadi yake aliyoitowa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mwezi agosti mwaka jana .
Alisema baiskeli hiyo itamsaidia sana kwani alikuwa hawezi kwenda sehemu yoyote ile bila msaada wa kupelekwa na mtu jambo ambalo kuna wakati lilikuwa kwake linakuwa ni gumu na hasa napokuwa anakoseka wa kumbeba na kumpeleka kule anako taka kwenda .
Alifafanu kuwa kuna wakati alikuwa amekuwa akishindwa hata kwenda kanisani kutokana na wazazi wake kutoku na fedha za kumlipa boda boda hari ambayo ilizidi kumfanya kuwa mpokwe zaidi.
Mbunge wa Mpanda Mjini Sebastiani Kapufi alisema Baiskeli hizo mbili alizowapatia watu hao waili zimegharimu kiasi cha Tshs 900,000 na ametekeleza ahadi aliyokuwa ameitowa wkati wa ziara yake aliofanya katika Kata za Kawajense na Kasokola .
Alisema yeye kama Mbunge wa Jimbo ataendelea kutowa misaada kwenye jamii na wala hata sita kutowa misaada kwenye watu wenye mahitaji maalumu kama alivyofanya kwa watu hao wawili .
Bibi wa msichana huyo Anna John alimshukuru Mbunge huyo kwa kutowa msaada huo wa baiskeli kwa Justine na utawapunguzia gharama za kukodi boda boda mara kwa mara .
No comments:
Post a Comment