Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Na Walter
Mguluchuma
Katavi
Jumla ya
miradi ya thamani ya
shilingi bilioni 4,327,006,179
itatembelewa na mbio za
Mwenge katika Mkoa wa Katavi ambapo
itazinduliwa na kuwekwa
jiwe la msingi
na kukabidhiwa kwa walengwa
Akizungumza
mara baada ya kukabidhiwa Mwenge
hapo jana na Mkuu wa
Mkoa wa Rukwa Mwandisi
Sitela Manyanya katika
Kijiji cha Sitalike Wilaya ya
Mlele Mkoa wa Katavi Mkuu wa
Mkoa wa Katavi DR
Ibrahimu Msengi alisema miradi
itakayo itakayozinduliwa itakuwa 30
Alifafanua
kuwa Wilaya
ya Mpanda itazinduliwa miradi 14na
Wilaya ya Mlele miradi 16
utawakeka mawe ya msingi miradi nane ambapo
wilaya ya Mlele utaweka
utaweka mawe ya msingi matano na
Wilaya ya Mpanda mawe ya msingi
matatu
Katika
mbio hizo za
mwenge ambazo ujumbe
wa mwaka huu ni jiandikishe
kupiga kura uchaguzi wa mwaka 2015 baadhi ya miradi itawekwa jiwe la
msingi na kuzinduliwa
Mkoani Katavi
Pia
utatowa mikopo na misaada
kwa vikundi vya wanawake watoto yatima
na vijana 16
Wilaya ya Mlele na Wilaya ya Mpanda vikundi
nane ambapo thamani ya miradi yote
ni Tsh 4,327,006,179 ambapo
Tsh 587,404,021 ni michango ya wananchi Tsh 1,543,447,782 ni Halmashauri Tsh
1,516,584,,333 Serikali kuu na
Tsh 679,569,990 ni wahisani
Kwa upande
wake kiongozi wa mbio za
mwenge Kitaifa Juma Khatibu
Chum aliwataka wananchi
wajitokeze na kushiriki kwa wingi katika
uchaguzi mkuu wa mwaka huu
Chum
alitowa wito kwa wananchi kuweza
kujitolea katika shughuli
za ukamilishaji wa miradi ya
maendeleo katika maeneo yao
Pia
aliwataka watu waepukane na
kutumia madawa ya kulevyo na waepukane
na watu wanaotaka uongozi kwa njia ya rushwa kwani Rushwa hurudisha nyuma
maendeleo
Mwenge wa ulianza mbio zake hapo
jana katika Manispaa ya
Mji wa Mpanda na kesho utaanza mbio zake
katika Halmashauri ya Wilaya
ya Mpanda katika
Mkoa wa Katavi utakimbizwa
jumla ya kilometa 677.4 kwa muda wa siku nne katika
Wilaya zote mbili za Mpanda na Mlele
0 comments:
Post a Comment