Na Walter Mguluchuma, Katavi
MKUU wa Mkoa wa Katavi , Dk Ibrahim Msengi amepiga marufu vipimo visivyostahili vya lumbesa kwa kuwa wakulima anaibiwa na wafanyabishara wasio waaminifu wenye uchu wa utajiri wa haraka ..
Dk Msengo alitoa marufuku hiyo wakati wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa huo kwamba kuanzia sasa vipimo visivyo sahihi maarufu kama lumbesa marufuku mkoani humo kwamba si batili tu lakini pia vinamwibia mkulima .
Dk Msengi ambaye pia ni Mwenyekiti wa kikao hicho cha RCC alilazimika kutangaza marufuku hiyo kufuatia taarifa ya Wakala wa Vipimo mkoani humo uliyotolewa mbele ya wajumbe wa kikao hicho .
Ofisa Malalamiko wa Wakala wa Vipimo kutoka makao Makuu , Zainabu Kafunngo aliwaleleza wajumbe wa kikao hicho kuwa upimaji wa vipimo sahahi kwa mazao ya nafaka yakiwemo mahindi katika soko la mjini Mpanda ni changamoto kubwa
Pia wakala hao wamestushwa na uelewa mdogo waliyonayo wakulima juu ya vipimo stahiki ya vifungashio vya bidhaa zao .
“ Ufungashaji batili wa bidhaa ni i kinyume cha sheria lakini hali ilivyo ni tofauti kwa mujibu mapitio ya mwaka 2002 fungu cha 26 ya sherai zetu ni kwamba tumetoa utaratibu mzim kwa kila bidhaa kufungashwa kwa uzito maalumu kwa uzito
Isitoshe ikumbukwe kuwa na maendeleo tutayapataje bila kuwa na vipimo sahihi ….Ufungashaji a mbao tumeuzoea kama Lumbesa …. Lumbesa ni nini ni ufungashaji wa bidhaa ndani ya vifungashio kwa uzito zaidi ya ule unaokubalika kisheria……
Mbali na uzito huo wa kilo 90 uwe katika kifungashio kimoja sio tena katika kifungashio hicho kuwe na kitu kingine kwa juu kilichofungwa na kamba hususani katika magunia yanayohifadhi mazao ya nafaka yakiwemo mahindi
.” alisisitiza
Aliongeza kwa kutoa mfano kuwa uzito halali wa gunia iliokubalika kishieria ndani ya kifungashio ni kilo 90 lakini hali si hivyo mkoani humo ambapo gunia moja la mahindi linakuwa na uzito wa kilo 120 .
“Huu ni wizi …mkulima hapa anaibiwa kilo 30 kwa kilo gunia ambao katika magunia manne kuna kuwa na zaida ya gunia moja ambalo lingeweza kumsaidia mkulima katika kuboresha maisha yake
ndani ya vifungashio kilo 90 linakuwa na kilo 120 wizi mkulima anaibiwa kilo tatu mane anakuwa na mgunia la ziada ingemsaidia katika kuboresha maisha yake huu ni wizi mkulima anaibiwa kilo 30 kwa kila gunia” anatahadhalisha .
Baadhi ya wakazi wa Mji wa Mji wa Mpanda waliohojiwa na mwandishi wa habari hizi wamelalamikia kuwepo kwa udanganyifu wa vipimo kwa bidhaa zinazouzwa madukani pia buchani kutokana na kuwepo kwa vipimo visivyo sahahi mlaji anaibiwa kwa kupimiwa robo tatu ya kilo ya nyma badala ya kilo moja .

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
No comments:
Post a Comment