Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Said Arfi akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Jimbo Katoriki la Mpanda Pascal Kikoti aliyefariki Jumanne ya wiki hii kwenye Hospitari ya Bugando ya Jijini Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Said Arfi akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Sumbawanga Damiano Kialuzi mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo cha kifu cha Askofu wa Jimbo la Mpanda.
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini Said Arfi akitoa heshma za mwisho kwa aliyekuwa askofu wa kanisa katoriki jimbo la Mpanda marehemu pascal Kikoti kwenye Palokia kuu ya mtakatifu maria Emakulata Jimbo la Mpanda.
Picha na Walter Mguluchuma. wa Katavi yetu blog
0 comments:
Post a Comment