Home » » MAJENGO YA CHUO CHA AFYA YATELEKEZWA

MAJENGO YA CHUO CHA AFYA YATELEKEZWA

Baadhi ya majengo yaliyokuwa yakitumiwa kama chuo cha Afya kilichokuwa kinamilikiwa na Wizara ya Afya yakiwa yametelekezwa na Wizara ya hiyo tangu mwishoni mwa miaka ya 1990, majengo haya yapo katikati ya Mji wa Mpanda karibu na Hospitari ya Wilaya jengo moja linatumika kama kambi ya Kikosi cha kuzuia Ghasia (FFU)
Picha na Walter Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa