Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Katavi kwa Imani zao za kishirikina wanaamini kuwa ushirikina ndiyo njia pekee ambayo inaweza kuwasaidia kuwakomboa katika maisha yao kama ambavyo inavyoonekana kwenye picha hizo ambapo zinaonyesha chungu, Nguo na dawa za kienyeji vikiwa juu ya kaburi moja la mtu aliyezikwa kwenye makaburi ya mwangaza juu ya kaburi la Juma Masanja aliyezikwa mwaka 2010 wakazi wa Mkoa wa Katavi wanaimani potofu kuwa ukioshewa dawa za kienyeji juu ya kaburi la mtu aliyezikwa utakua umeondoa mikosi, utapandishwa cheo kazini pamoja na kufanikiwa katika shughuli za biashara na wengine wanaamini kama ulikuwa haujaolewa utapata mchumba.
Picha na Walter Mguluchuma wa www.blogszamikoa.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment