Home » » NAIBU WAZIRI WA MADINI MH. DOTO BITEKO ATEMBELEA MGODI KATAVI

NAIBU WAZIRI WA MADINI MH. DOTO BITEKO ATEMBELEA MGODI KATAVI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Naibu  Waziri wa  Madinii  Doto  Biteko wapili kushoto wakati akiwa kwenye  mgodi wa   mani wa  Kampuni ya  Kapufi   and  Katavi wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mgodi huo kwa lengo la kuangalia  shughuli zinazofanywa  na  Kampuni  hiyo  mgodi huo uliomkubwa kuliko migodi  mingine  katika  Mkoa wa  Katavi upo  katika  eneo la  Singililwa  Wilayani  Mpanda.
Picha  na  Walter  Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa