Home » » SUNGUSUNGU WA KATA YA MAMBA WACHANGIA MAWATI ZAIDI YA 100 YENYE THAMANI YA ZAIDI MILIONI 9.

SUNGUSUNGU WA KATA YA MAMBA WACHANGIA MAWATI ZAIDI YA 100 YENYE THAMANI YA ZAIDI MILIONI 9.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399


Mwenyekiti wa Sungusungu  wa   Tarafa  ya  Mamba  katika   Halmashauri ya  Mpimbwe  Mtamila Mwitasheo   akikabidhi  madawati 105  yenye  thamani ya  zaidi ya  shilingi  milioni 9 kwa mkurugenzi wa  Halmashauri ya   Mpimbwe  Elasto  Kiwale   madawati  hayo yametolewa na    Sungusungu wa  Kata ya   Mamba kwa ajiri ya   shule za  Msingi za  Kata  hiyo.
Picha  na  Walter  Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa